Kudhalilisha wanahabari 'sio poa'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Jul 2021
Kudhalilisha wanahabari 'sio poa'

Wadau wa soka nchini wameendelea kulaani kitendo kilichofanywa na Afisa Habari wa klabu ya Simba Haji Manara kumdhalilisha na kutishia kumpiga Mwanahabari Prisca Kishamba kwa kuwa tu aliuliza swali katika Mkutano wake ambalo yeye hakulipenda

Kitendo cha kumzuia mwandishi wa habari tena wa kike kufanya kazi yake kwa mujibu wa sheria na matakwa ya kazi kwa kumtolea maneno yenye vitisho sio cha kiungwana kwa jamii ya watu walio wastaarabu.

Wadau wameitaka klabu ya Simba kuomba radhi kwa kitendo kilichofanywa na Afisa wao, kwani tukio hilo linaweza kuathiri mahusiano ya klabu yao kwa Wanahabari

Ninapenda vile Wanahabari wa Yanga wanavyofanya kazi. Hassan Bumbuli na Antonio Nugaz wamekuwa na uhusiano mzuri na waandishi wa habari

Haikuwahi kutokea hata siku moja ukasikia Bumbuli au Nugaz ametofautiana na yeyote huko nje kwa kisingizio cha kulinda 'brand' ya Yanga

Wanahabari ni watu muhimu kwa timu ya mpira wa miguu kwani ndio wanahusika kuwasilisha taarifa kwa mashabiki wao

Sasa unapotengeneza 'bifu' na watu hawa, unajichimbia kaburi tu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’