Kaze awapongeza Yanga kuingia fainali FA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jun 2021
Kaze awapongeza Yanga kuingia fainali FA

Kocha wa zamani wa Yanga Cedric Kaze amewapongeza wachezaji kwa kuweza kutinga fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

Jana Yanga liichapa Biashara United bao 1-0 katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora

Kaze amesema amafanikio waliyopata Yanga yamechangiwa na uvumilivu wao

"Kadiri unavyosubiri jambo, ndivyo utakavyolithamini litakapofika. Safi sana...!," aliandika Kaze kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Kaze aliinoa Yanga kwa takribani miezi mitano kabla ya kuondolewa na nafasi yake kushikiliwa kwa muda na kocha Juma Mwambusi ambaye alikuja kumpisha kocha aliyepo sasa,  Nasreddine Nabi

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’