Waziri Junior anaipa Yanga ushindi muhimu kwenye dakika ya 94 akifunga bao la ushindi akimalizia pasi ya Tuisila Kisinda
Aidha dakika nne za nyongeza zimetumiwa vyema na Yanga kufunga mabao mawili
Alianza Yacouba Songne kabla ya Waziri kuteka 'show'
Ulikuwa ni mchezo ambao nusura Yanga ipoteze alama tatu katika mazingira ya kutatanisha
Bao la kwanza lilifungwa na Bakari Nondo Mwamnyeto wakati mabao ya Mwadui Fc yalifungwa na Aniceth Revocatus
ADVERTISE HERE