Kesho Jumapili Juni 20, Yanga watakuwa wenyeji wa Mwadui Fc katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Uongozi wa Yanga umetaja viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa moja usiku
Mzunguuko ni Tsh 5,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na VIP A ni Tsh 15,000/-
Yanga imekutana na Mwadui Fc mara mbili msimu huu, wakiibuka na ushindi wa mabao 5-0 kwenye mchezo wa duru ya kwanza ligi kuu kabla ya kushinda 2-0 mchezo wa robo fainali kombel la FA
Michezo yote ilipigwa mkoani Shinyanga, kesho Yanga itakuwa nyumbani
ADVERTISE HERE