Viingilio mchezo dhidi ya Mwadui Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jun 2021
Viingilio mchezo dhidi ya Mwadui Fc

Kesho Jumapili Juni 20, Yanga watakuwa wenyeji wa Mwadui Fc katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Uongozi wa Yanga umetaja viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa moja usiku

Mzunguuko ni Tsh 5,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na VIP A ni Tsh 15,000/-

Yanga imekutana na Mwadui Fc mara mbili msimu huu, wakiibuka na ushindi wa mabao 5-0 kwenye mchezo wa duru ya kwanza ligi kuu kabla ya kushinda 2-0 mchezo wa robo fainali kombel  la FA

Michezo yote ilipigwa mkoani Shinyanga, kesho Yanga itakuwa nyumbani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’