Jana Msemaji wa klabu moja aliropoka kuwa GSM hawana ubavu wa kumsajili yule mlinzi wa kulia wa klabu AS Vita
Tumtaarifu tu, kuwa Injinia Hersi Said muda huu yuko DR Congo akifanya Biashara ya maana kwa ajili ya kuwapa furaha mashabiki wa Yanga
Naambia amemaliza biashara vyema, anarejea Dar na watu wa kazi!
ADVERTISE HERE