Dabi ya vijana kupigwa Juni 10

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jun 2021
Dabi ya vijana kupigwa Juni 10

Ligi Kuu ya Vijana U20 inaingia katika awamu ya pili ya makundi ambapo Juni 10 Yanga na Simba zitaumana katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Azam Complex, Chamazi

Yanga na Simba zote zimepangwa kundi A pamoja na JKT Tanzania na Mwadui Fc wakati kundi B limezijumuisha Tanzania Prisons, Kagera Sugar, Azam Fc na Mtibwa Sugar

Mshindi wa kwanza na wa pili katika kila kundi watatinga nusu fainali, mechi za nusu fainali zikitarajiwa kupigwa Juni 17

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’