Ratiba imechangia kuvuruga ligi - Bumbuli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Jun 2021
Ratiba imechangia kuvuruga ligi - Bumbuli

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli ameitaka Bodi ya Ligi kuhakikisha msimu ujao wanamaliza chamgamoto ya Ratiba Ligi Kuu

Bumbuli amesema msimu huu wamekumbana na changamoto ya ratiba ambayo kwa kiasi imeathiri mipango yao

"Ligi imepoteza mvuto hapa mwishoni kutokana na ratiba imekuwa sio rafiki na imejenga mazingira ambayo hayajengi usawa wa ushindani katika mpira wa miguu"

"Umeona ilibidi hata sisi tulalamike, tusingeibua ile ishu ya kuwa kuna timu hazijacheza mechi hata moja wakati ligi inaelekea ukingoni sijui ingekuwaje. Sawa, wamecheza lakini muda ulishapita"

"Ligi ilikuwa nzuri ukiondoa changamoto hiyo, timu zilijiandaa vizuri, naamini kama hakutakuwa na changamoto hizi msimu ujao, ligi itakuwa bora zaidi," alisema Bumbuli

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’