Majukumu ya timu ya Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 May 2021
Majukumu ya timu ya Taifa

Kiungo wa Yanga Mukoko Tonombe ameondoka nchini kuelekea DR Congo kujiunga na timu ya Taifa kwa ajili ya majukumu ya mechi za Kimataifa za kirafiki

Mukoko ni mmoja wa wachezaji sita wa Yanga walioitwa kuwakilisha nchi zao

Wachezaji wengine ni Yacouba Songne (Burkina Faso), Feisal Salum, Metacha Manata, Dickson Job na Bakari Nondo Mwamnyeto walioitwa timu ya Taifa ya Tanzania

Wachezaji walioitwa Stars wataingia kambini Juni 05 kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Zimbabwe utakaopigwa Juni 13 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
58m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’