Kikosi cha Yanga kimetua jijini Dar es salaam wakitokea mkoani Shinyanga ambako jana walifanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (FA) kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mwadui Fc
Wananchi wamerejea kuendelea na maandalizi ya mechi zinazofuata huku baadhi ya wachezaji wakitarajiwa kujiunga na timu za Taifa kwa ajili ya michezo ya Kimataifa ya kirafiki






ADVERTISE HERE