Mechi ya watani sasa kupigwa Julai 03

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 May 2021
Mechi ya watani sasa kupigwa Julai 03

Bodi ya Ligi imetoa ratiba ya mechi ya watani wa jadi ambayo haikufanyika May 08 kutokana na mabadiliko ya muda wa mchezo ambayo yalikuwa kinyume na kanuni za uendeshaji wa Ligi Kuu ya Vodacom

Mchezo huo sasa utapigwa Julai 03 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, muda ukiwa saa 11 jioni

Aidha mashabiki wenye tiketi za mchezo uliopita, wataruhusiwa kutumia tiketi zao kushuhudia mchezo huo lakini pia mauzo ya tiketi mpya yatafanyika sawa na idadi ya mashabiki waliobaki kujaza uwanja wa Mkapa

Mashabiki takribani 43,000 walikata tiketi kushuhudia mchezo ulioahirishwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
2h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
14h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
23h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’