Baada ya kulazimishwa suluhu ya bila kufungana dhidi ya Namungo Fc jana, kikosi cha Yanga kimerejea mkoani Mtwara kujiandaa na mchezo unaofuata dhidi ya JKT Tanzania
Siku ya Jumatano, May 19 Yanga itakuwa mkoani Dodoma kuikabili JKT Tanzania katika mchezo mwingine ambao Wananchi watazihitaji alama zote tatu
ADVERTISE HERE