Ripoti za waamuzi ziwekwe hadharani - Bumbuli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 May 2021
Ripoti za waamuzi ziwekwe hadharani - Bumbuli

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema kuna umuhimu wa kutungwa kanuni ambazo zitalazimu ripoti za waamuzi baada ya mechi kuwekwa wazi kwa umma

Bumbuli ametoa kauli hiyo kufuatia tukio la kukataliwa kwa bao walilofunga Yanga kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc uliomalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana

Mwamuzi msaidizi alikataa bao lililofungwa na Yacouba Songne katika mazingira ambayo mpaka sasa hakuna anayefahamu sababu ya kukataliwa bao hilo

Bumbuli amesema waamuzi inapaswa walazimishwe kisheria waweke hadharani sababu za baadhi ya maamuzi wayayochukua uwanjani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’