Nyota Yanga katika mtihani Ruangwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 May 2021
Nyota Yanga katika mtihani Ruangwa

Wananchi wanahesabu masaa kabla ya kushuka katika uwanja wa Majaliwa kuwakabili Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Wakati msimu ukiwa unaelekea ukiongoni, nyakati hizi za lala salama ndio za kufungia mahesabu

Yanga inahitaji kushinda kila mchezo unaokuja mbele ili kuendelea kubaki kwenye mbio za ubingwa

Huu utakuwa mchezo wa tatu kwa kocha Nasreddine Nabi ambaye baada ya kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Azam Fc, aliwavusha Wananchi robo fainali ya FA kwa ushindi dhidi ya Tanzania Prisons kule Sumbawanga

Kwa wachezaji wa Yanga mechi hizi ni muhimu kwao kwani GSM wameahidi kuwa msimu ukimalizika watafanya maboresho mengine

Nabi amepewa rungu la kuisuka upya Yanga, bila shaka michezo hii ya lala salama itampa mwanga wa wachezaji ambao atahitaji kuendelea nao

Tangu awasili mwezi uliopita, yapo maboresho ambayo yanaonekana katika kikosi chake

Leo Wananchi wanaweza kuendeleza pale walipoishia kwenye mchezo dhidi ya Prisons kule Sumbawanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’