Simba imevuliwa ubingwa wa FA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Dec 2017
Simba imevuliwa ubingwa wa FA
Simba imeondoshwa kwenye michuano ya kombe la FA (ASFC) kwa kuchapwa kupitia mikwaju ya penati 4-3 baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na timu ya daraja la pili, Green Worriors.

Simba ilikuwa bingwa mtetezi wa michuano hiyo ambayo mshindi anapata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania Bara kwenye michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika.

Naamini ushindi huu wa Green Worriors utaheshimiwa, hatutarajii kusikia rufaa zisizo na kichwa wala miguu, maana hawakawii!

Aidha Green Worriors imeligutusha benchi la Ufundi la Yanga kuwa wasifikirie kama kuna timu ndogo kwenye michuano hiyo.

Yanga itahitaji kushusha kikosi kamili kuikabili timu nyingine ya daraja la pili Reha FC keshokutwa Jumapili, Disemba 24.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’