Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Mshauri wa Yanga Senzo Mazingisa
Ujio wake Yanga ilikuwa 'saprise' kutoka GSM, akitua kutika kule kwa watani ambako alikuwa Mtendaji Mkuu (CEO)
Huyu ni mtaalam kwelikweli wa uongozi na usimamizi wa taasisi za mpira wa miguu. Ameifanya kazi hiyo kwa zaidi ya miaka 15
Ndani ya klabu ya Yanga amekuwa sehemu ya timu inayosimamia mchakato wa Mabadiliko ya mfumo wa Uendeshaji
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu mtaalam huyu raia wa Afrika Kusini
HAPPY BIRTHDAY SENZO
ADVERTISE HERE