TFF waomba radhi, hatma ya fedha za mashabiki kujulikana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 May 2021
TFF waomba radhi, hatma ya fedha za mashabiki kujulikana

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewaomba radhi mashabiki wa soka nchini kufuatia kuahirishwa kwa mchezo kati ya Simba dhidi ya Yanga uliokuwa upigwe jana uwanja wa Benjamin Mkapa

Taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, imebainisha kuwa wameielekeza Bodi ya ligi kutoa taarifa ya kina juu ya sababu zilizopelekea mchezo huo kuahirishwa na wakati huo wakisaka suluhu ya hatma ya mashabiki waliokuwa wamelipa viingilio kushuhudia mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’