Yanga kucheza mechi mbili kabla ya kalenda ya FIFA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 May 2021
Yanga kucheza mechi mbili kabla ya kalenda ya FIFA

Baada ya mchezo dhidi ya Simba 'kuota mbawa', Yanga inaanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu unaofuata ambapo Wananchi watasafiri mkoani Linda kuwafuata Namungo Fc katika mchezo utakaopigwa Jumamosi, May 15 katika uwanja wa Majaliwa

Baada ya mchezo huo, mabingwa hao wa kihistoria wataelekea mkoani Dodoma kuifuata JKT Tanzania katika mchezo mwingine wa ligi ambao utapigwa Jumatano ya May 19 katika uwanja wa Jamhuri

Mwishoni mwa mwezi huu ligi itasimama kwa takribani wiki mbili kupisha mechi za Kimataifa zilizo ndani ya kalenda ya FIFA

Wananchi watarejea tena dimbani Juni 19 kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Hizi ni mechi za lala salama kumaliza msimu, Yanga inahitaji alama tatu kutoka kila mchezo ili kubaki katika mbio za kuwania ubingwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’