Kelvin Yondani, Thabani Kamusoko, Donald Ngoma na Pato Ngonyani wanaendelea mazoezi chini ya uangalizi wa daktari.
Yondani na Pato wanaweza kurejea dimbani wakati wowote wakati Kamusoko na Ngoma wanatarajiwa kuwa tayari kurejea dimbani mwezi Januari.

ADVERTISE HERE