Prisons vs Yanga, 16 bora ASFC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Apr 2021
Prisons vs Yanga, 16 bora ASFC

Baada ya kuteleza na kuwaachia wapinzani wao Simba uongozi wa Ligi, kikosi cha Yanga kinahamishia nguvu zake kwenye michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) ambapo siku ya Ijumaa, April 30 watashuka kunako dimba la Nelson Mandela kuikabili Tanzania Prisons

Huu ni mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano hiyo ambapo mshindi atatinga robo fainali

Hii ni mechi muhimu kwa Yanga kushinda ili kurejesha imani ya mashabiki wake hasa baada ya 'kupepesuka' kwenye ligi

Wananchi tayari wako mkoani Mbeya wakiwa njiani kuelekea Sumbawanga

Hautakuwa mchezo mwepesi lakini Wananchi hawana namna, wanahitaji kushinda ili kuongeza ari ya wachezaji kuelekea mchezo dhidi Simba May 08

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’