FT : Yanga 0-1 Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Apr 2021
FT : Yanga 0-1 Azam Fc

Yanga ni kama imeondoshwa rasmi katika mbio za ubingwa baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Azam Fc

Bao la Prince Dube limeihakikishia Azam Fc ushindi muhimu ambao unamaliza matumaini ya Yanga kushinda ubingwa msimu huu

Ni muujiza pekee ambao unaweza kuifanya Yanga ikaibuka mabingwa

Azam Fc walikuwa bora kwa muda mwingi wa mchezo, benchi la ufundi lina kazi ya kuiimarisha timu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’