Ni muhimu tumepata ushindi - Saido

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Apr 2021
Ni muhimu tumepata ushindi - Saido

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza amesema ushindi wa mabao 3-1 walioupata dhidi ya Gwambina Fc unazidi kuwapa imani kuwa wanaweza kufanya kitu msimu huu

Ntibazonkiza alifunga bao la tatu katika dakika za majeruhi na kuihakikishia Yanga alama tatu muhimu katika mchezo ambao walikumbana na upinzani mkali kutoka kwa Gwambina

"Ni ushindi muhimu kwetu, tulihitaji sana kupata matokeo haya, yametupa imani ya kuzidi kupambana. Tuzidi kupeana sapoti mashabiki na wanatimu wote tuone kama tunaweza kufanya kitu msimu huu" alisema Saido

Aidha nyota huyo wa Kimataifa wa Burundi amezungumzia tukio lililojitokeza uwanjani baina yake na Deus Kaseke baada ya mchezo kumalizika

"Sio jambo geni kujitokeza uwanjani, mambo kama haya hujitokeza lakini huwa yanaishia pale pale uwanjani. Nikuhakikishie wachezaji wote tuko sawa hakuna tatizo lolote, Kilichojitokeza uwanjani kilimalizika palepale," aliongeza Saido

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’