Wanaosaka kiki kupitia Yanga ujumbe wao huu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Apr 2021
Wanaosaka kiki kupitia Yanga ujumbe wao huu

Kitendo kilichofanywa na msanii Dula Makabila kujitangaza kuwa ameihama Yanga na kujiunga na Simba huku Haji Manara Afisa Habari wa Simba akitumia vyombo vya habari kulikuza tukio hilo, ni mwendelezo wa kuitumia 'brand' ya Yanga kwa manufaa yao

Aliyewahi kuwa Kaimu Katibu Mkuu na Mwanasheria wa Yanga Simon Patrick, amesema umefika wakati Yanga inastahili kupewa thamani yake

"Sasa kila mtu akipata umaarufu anajitengenezea kiki kupitia Yanga. Sasa umefika wakati tuipe thamani 'brand' ya Yanga kwa ajili ya manufaa ya timu," aliandika Simon kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Naye Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amemponda muandaaji wa matukio hayo akimfananisha na mfalme JUHA

"Unamaanisha wale waliojitekenya na kucheka wenyewe kama Mahoka!? Mfalme JUHA aliwahi kusahahu kama yeye mfalme, akaanza kupinga amri zake, akidhani yeye raia wa kawaida, mbaya Sana kuwa JUHA"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’