TFF wamemlea Morrison, atadhalilisha wengi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Apr 2021
TFF wamemlea Morrison, atadhalilisha wengi

Kitendo kilichofanywa na mchezaji Bernard Morrison kwa kumshika makalio Mwamuzi msaidizi katika mchezo dhidi ya Mwadui Fc sio cha kiungwana na kifaa kukemewa vikali

Kwa hakika huyu ni aina ya mchezaji ambaye, mamlaka za usimamizi wa soka nchini zimemlea licha ya nidhamu yake kutokuwa nzuri

Sasa ameanza kufanya mambo ambayo ni kinyume kabisa na taratibu za soka, amemdhalilisha mwamuzi mchana kweupee

Beki Juma Nyosso aliwahi kufanya kitendo kama hicho dhidi ya mshambuliaji John Bocco na alifungiwa kwa miaka miwili pamoja na kupigwa faini

Lakini haitashangaza kuona hili la Morrison linaweza kupita kimya-kimya

Huyu ni mchezaji ambaye hakupaswa kuendelea kucheza soka hapa Tanzania kwa tukio la udanganyifu alioifanyia Yanga katika usajili wake na Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’