Kuzishuhudia Yanga vs Gwambina buku tano tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Apr 2021
Kuzishuhudia Yanga vs Gwambina buku tano tu

Msako wa alama tatu unaendelea uwanja wa Benjamin Mkapa kesho Jumanne Yanga itakaposhuka dimbani kuikabili Gwambina Fc ukiwa ni mwendelezo wa ligi kuu ya Vodacom

Yanga imeweka hadharani viingilio vya mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa moja kamili usiku

Mashabiki wameaswa kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao, ni mchezo mwingine muhimu ambayo Yanga inahitaji alama zote tatu ili kuendelea kuwa katika mbio za kuwania ubingwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’