Hatutarudia makosa - Niyonzima

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Apr 2021
Hatutarudia makosa - Niyonzima

Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima amesema kuwa licha ya ugumu wa raundi ya pili, hawatakubali kurudia makosa waliyoyafanya kazi michezo ya mwanzo

Niyonzima tayari amerejea kikosini na kuungana na wenzake kujiandaa na mchezo dhidi ya KMC utakaopigwa Jumamosi, April 10 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Niyonzima amesema kwa jinsi walivyojipanga mwaka huu ni wakati wa kumaliza ufalme wa watani zao Simba ambao wametwaa taji la Ligu Kuu mara tatu mfululizo.

"Tuna uzoefu mkubwa na Ligi Kuu Tanzania Bara, mzunguko wa pili umekuwa na hesabu sana na sisi tumejipanga kuhakikisha tunamaliza michezo tukiwa kileleni na kushinda taji," alisema Niyonzima

"Mzunguko wa pili huwa ni mgumu kwani umegawanyika katika sehemu mbili, timu zinazopambana kutwaa ubingwa na zile zinazo pambana kutoshuka daraja hivyo kunaongeza ugumu katika mbio za kulisaka taji lakini tumejipanga kufanya vizuri"

Aidha Niyonzima amesema uwepo wa kocha Juma Mwambusi mwenye uzoefu wa Ligi Kuu  ni faida kwao. Wana matumaini makubwa kuwa watashinda ubingwa kama walivyofanya katika msimu wa mwisho wa Mwambusi alipokuwa na kocha George Lwandamina

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’