Ntibazonkiza na rekodi ya kipekee Afcon

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Mar 2021
Ntibazonkiza na rekodi ya kipekee Afcon

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza ndio mchezaji pekee anaecheza Afrika mwenye magoli mengi kwenye michuano ya kufuzu fainali za AFCON 2021 inayofikia tamati kesho Jumanne

Ntibazonkiza anaongoza orodha ya wafungaji katika michuano hiyo akiwa amefunga mabao manne

Wachezaji wengine waliofunga idadi hiyo ya mabao, wanacheza nje ya Afrika ambao ni:

Victor Osimhen (Napoli),
Percy Tau  (Brighton)
Louis Mafouta (Xamax)

Ntibazonkiza atashuka tena dimbani kesho akiiwakilisha Burundi katika mchezo dhidi ya Morocco

Baada ya mchezo huo atarejea Dar kujiunga na wenzake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’