Mwambusi awajumuisha U20 kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Mar 2021
Mwambusi awajumuisha U20 kikosini

Yanga inaendelea kujifua Avic Town, Kigamboni kujiandaa na mechi za ligi kuu na kombe la FA, zitakazorejea baada ya kumalizika kipindi cha siku 21 za maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya tano Hayati Dk John Magufuli aliyefariki dunia Machi 17

Katika mazoezi ya asubuhi leo Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi aliwajumuisha wachezaji wa kikosi cha vijana U-20 ambao pia wanajifua kujiandaa na mechi za ligi ya vijana

Taarifa iliyotolewa na Afisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli, imebainisha kuwa Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla na wakongwe waliowahi kuitumikia Yanga, walishuhudia mazoezi hayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’