Nchimbi, Job wabaki Stars ikipaa Guinea ya Ikweta

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Mar 2021
Nchimbi, Job wabaki Stars ikipaa Guinea ya Ikweta

Timu ya Taifa ya Tanzania imeondoka Kenya kuelekea Guinea ya Ikweta ambako kesho Alhamisi inakabiliwa na mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali za Afcon 2021 dhidi ya wenyeji wao

Kocha Kim Poulsen ameondoka na kikosi cha wachezaji 30 baadhi ya nyota wakienguliwa kutokana na sababu mbalimbali

Mshambuliaji Ditram Nchimbi alipata majeraha katika maandalizi ya mchezo huo nchini Kenya, hakujumuishwa katika kikosi

Beki Dickson Job ambaye alisajiliwa na Yanga katika usajili wa dirisha dogo akitokea klabu ya Mtibwa Sugar nae amebaki akiendelea kuimarisha 'fitnes' yake baada ya kuwa nje kwa zaidi ya wiki nane kutokana na majeruhi

Wachezaji wa Yanga waliojumuishwa katika kikosi hicho ni Metacha Mnata, Yassin Mustafa, Bakari Nondo, Feisal Salum, Farid Mussa na Deus Kaseke

Wachezaji wengine walioachwa katika msafara huo ni pamoja na Said Ndemla, Baraka Majogolo (majeruhi), Edward Manyama, Carlos Protas, Meshaki Mwamita, David Bryson na Hassan Kessy

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
9h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
12h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
17h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
21h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’