Jana Viongozi, Wafadhili, Wadhamini na Wahisani wa Klabu ya Yanga walipata wasaa wa kukutana na Siyabulela Loyilane na Walter Steenbok kutoka Afrika Kusini, Rudolfs kutoka Latvia na Andrew kutoka Uganda kujadili maswala mbalimbali kuhusu soka la Bara la Afrika na uwekezaji endelevu kwenye vipaji vya soka hususani katika klabu ya Yanga







ADVERTISE HERE