Stars inaendelea kujifua Kenya

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Mar 2021
Stars inaendelea kujifua Kenya

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inaendelea kujifua nchini Kenya kujiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Afcon dhidi ya Guinea ya Ikweta utakaopigwa March 24 huko Guinea

Tanzania imeweka kambi yake Kenya ambako ilikwenda kwa ajili ya kucheza mechi mbili za kujipima nguvu dhidi ya Harambee Stars

Mchezo wa kwanza uliopigwa March 15, Tanzania ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1. Mchezo wa pili ambao ulipaswa kupigwa jana, ulifutwa kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Dk John Magufuli

Wakiwa chini ya kocha Kim Poulsen, Tanzania wanajifua katika uwanja wa Nyayo tayari kusaka nafasi ya kucheza fainali za Afcon kwa mara ya tatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’