Stars dimbani dhidi ya Harambee Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Mar 2021
Stars dimbani dhidi ya Harambee Stars

Baada ya kufungwa mabao 2-1 na Harambee Stars katika mchezo wa kwanza uliopigwa Jumatatu iliyopita, timu ya Taifa ya tanzania 'Taifa Stars' inashuka tena dimbani nchini Kenya kuikabili Harambee Stars katika mchezo mwingine wa kirafiki utakaopigwa uwanja wa Kasarani

Mchezo huo ni sehemu ya maandalizi kuelekea mechi za kuwania kufuzu fainali za Afcon zitakazopigwa mwishoni mwa mwezi huu

Aidha kufuatia kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk John Magufuli, kabla ya mchezo huo, wachezaji watasimama kwa dakika moja kuomboleza kifo cha Rais Magufuli

Rais wa Shirikisho la Soka nchini Kenya(FKF), Nick Mwendwa amethibitisha mchezo huo utachezwa kams ilivyopangwa, ukitanguliwa na dakika moja ya kuomboleza kifo cha Rais wa Tanzania, John Magufuli kilichotokea jana.

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’