Kocha Mpya Yanga kutua Julai

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Mar 2021
Kocha Mpya Yanga kutua Julai

Inaelezwa Yanga imemaliza mchakato wa kumsaka kocha mpya ambapo jina la kocha wa timu ya Taifa ya Sudan, Hubert Velud ndiye mrithi wa Cedric Kaze

Idadi ya makocha waliokuwa wameomba kazi walikuwa zaidi ya 70, sifa na kigezo cha uzoefu wa kufundisha soka Afrika kilitumika kuwapunguza mpaka kufikia watatu

Velud aliyewahi kuzinoa klabu za TP Mazembe na Esperance ndiye aliyewavutia mabosi wa Yanga

Hata hivyo makubaliano ni kuwa kocha huyo atajiunga na Yanga mwezi Julai baada ya msimu kufikia tamati

Tayari Yanga imemtangaza kocha Juma Mwambusi kukiongoza kikosi mpaka mwishoni mwa msimu huku Velud akikifuatilia kikosi kwa ajili ya kufanya maboresho katika usajili wa dirisha kubwa

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’