Stars dimbani dhidi ya Harambee Stars

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Mar 2021
Stars dimbani dhidi ya Harambee Stars

Jioni ya leo timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', itashuka katika uwanja wa Nyayo nchini Kenya kuumana na Harambee Stars katika mchezo wa Kimataifa wa kirafiki

Kocha Mkuu wa Stars Kim Poulsen atatumia mchezo huu kukipima kikosi chake kabla ya mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2021 dhidi ya Guinea ya Ikweta

Poulsen aliyechukua mikoba ya Etienne Ndayiragije mwezi uliopita, ana jukumu la kuhakikisha anaipeleka Tanzania fainali za Afcon kwa mara ya tatu akibakisha michezo miwili dhidi ya Guinea ya Ikweta na Libya

March 18 Tanzania itacheza tena na Kenya katika mchezo mwingine ambao utapigwa uwanja wa Kasarani

Baada ya mchezo huo, Tanzania itaianza safari ya kuelekea Guinea ya Ikweta

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’