EPL: Chelsea yapoteza mechi ya tatu mfululizo, Nottingham Forest yaibuka na ushindi

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
•
36m ago
EPL: Chelsea yapoteza mechi ya tatu mfululizo, Nottingham Forest yaibuka na ushindi

Nottingham Forest imeichapa Chelsea mabao 3-2 katika mchezo wa Ligi Kuu England, matokeo yanayoifanya Chelsea chini ya kocha Xabi Alonso kupoteza mechi tatu mfululizo za ligi.

Igor Jesus alifungua ukurasa wa mabao kwa Nottingham Forest, kabla ya Morgan Gibbs-White kufunga mabao mawili na kuipa timu yake ushindi. Kwa upande wa Chelsea, Emegha alifunga mabao yote mawili.

Chelsea imepoteza michezo yake mitatu ya mwisho dhidi ya Leeds United (4-1), Sunderland (2-1) na sasa Nottingham Forest (3-2).

Kwa upande wake, Gibbs-White amefunga mabao yake mawili ya kwanza ya Ligi Kuu England dhidi ya Chelsea, baada ya kucheza mechi 11 zilizopita dhidi ya timu hiyo bila kufunga.

More Stories

Ndoto za serengeti boys zazimika Qatar, yaaga kombe la dunia

4h ago
READ MORE →
Mayele aipa nafasi Yanga kufika fainali ya ligi ya mabingwa Afrika

5h ago
READ MORE →
Azam Fc mambo magumu, yaanza makundi Shirikisho kwa kipigo

Uchaguzi Simba SC: Mangungu aenguliwa kwenye kinyang’anyiro cha uenyekiti

8h ago
READ MORE →
EXCLUSIVE: Hali ya kambi ya Taifa Stars Nigeria yazua maswali

11h ago
READ MORE →
Makonda akutana na Serengeti Boys nchini Qatar

Tumepata wiki moja pekee, lakini tumejipanga kimwili na kiakili kuivaa MC Alger: Fadlu Davids

13h ago
READ MORE →
Alama tatu ndio lengo letu dhidi ya Mc Alger: Fadlu Davids

EPL: Mechi kuendelea leo, Chelsea yakutana na Nottingham Forest

14h ago
READ MORE →
Kimoto apania kuwaadhibu waajiri wake wa zamani, AS Maniema Union