Mechi kali za kimataifa kupigwa leo, Spain na England kukutana kwenye vita ya wababe

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
5d ago
Mechi kali za kimataifa kupigwa leo, Spain na England kukutana kwenye vita ya wababe

Mashabiki wa soka wanatarajia burudani nyingine ya kimataifa leo kupitia michezo kadhaa mikubwa itakayopigwa katika ratiba ya usiku, huku macho mengi yakielekezwa kwenye pambano la Spain dhidi ya England.

Mechi nyingine zitakazopigwa ni Belgium dhidi ya Italy, France dhidi ya Turkey pamoja na Croatia dhidi ya Czechia, zote zikitarajiwa kuanza saa 22:45 kwa saa za Afrika Mashariki.

Hata hivyo, mchezo unaovuta hisia zaidi ni kati ya Spain na England utakaopigwa katika uwanja wa Riyadh Air Metropolitano, ambapo wababe hao wawili watakutana katika pambano linalotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Spain itakuwa na mastaa wake akiwemo Lamine Yamal, Pedri na Fermin Lopez, huku England ikitegemea ubora wa Harry Kane, Jude Bellingham na Morgan Rogers. Ni pambano litakalowakutanisha mastaa wenye uwezo mkubwa wa kubadilisha matokeo wakati wowote.

More Stories

Singida Black Stars yaichapa Azam 4-2, Sowah atupia mabao mawili
Singida Black Stars yaichapa Azam 4-2, Sowah atupia mabao mawili
5h ago
READ MORE β†’
Shalulile, Toure waizamisha Polisi Tanzania, Yanga yashinda 2-0 Moshi
Shalulile, Toure waizamisha Polisi Tanzania, Yanga yashinda 2-0 Moshi
10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, Ligi Kuu
Highlights : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, Ligi Kuu
10h ago
READ MORE β†’
Spain kukutana na Ufaransa, England kukabiliana na Norway robo fainali Nations League
Spain kukutana na Ufaransa, England kukabiliana na Norway robo fainali Nations League
11h ago
READ MORE β†’
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker afunguka maandalizi ya kuikabili JKT Tanzania
Barker afunguka maandalizi ya kuikabili JKT Tanzania
14h ago
READ MORE β†’
Mourinho aeleza msimamo wake kuhusu Vinicius Real Madrid
Mourinho aeleza msimamo wake kuhusu Vinicius Real Madrid
14h ago
READ MORE β†’
Walionufaika na waliopoteza wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa.
Walionufaika na waliopoteza wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa.
16h ago
READ MORE β†’
Real Madrid kuongeza mikataba ya Courtois na Valverde
Real Madrid kuongeza mikataba ya Courtois na Valverde
17h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu ya NBC kuendelea leo: Yanga Moshi, Azam na Singida Bs kukutana Chamazi
Ligi kuu ya NBC kuendelea leo: Yanga Moshi, Azam na Singida Bs kukutana Chamazi
19h ago
READ MORE β†’