Taifa Stars kukutana na Nigeria katika vita ya kuwania tiketi ya AFCON 2027

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media
β€’
13 Nov 2026
Taifa Stars kukutana na Nigeria katika vita ya kuwania tiketi ya AFCON 2027

Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, leo inashuka dimbani kuikabili Nigeria katika mchezo wa kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2027).

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Godswill Akpabio, nchini Nigeria, kuanzia saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Je, Taifa Stars itaweza kufanya maajabu ugenini na kuibuka na ushindi dhidi ya Nigeria, au wenyeji watatumia vyema faida ya kucheza nyumbani?

More Stories

Singida Black Stars yaichapa Azam 4-2, Sowah atupia mabao mawili

5h ago
READ MORE β†’
Shalulile, Toure waizamisha Polisi Tanzania, Yanga yashinda 2-0 Moshi

10h ago
READ MORE β†’
Highlights : Polisi Tanzania 0-2 Yanga, Ligi Kuu

Spain kukutana na Ufaransa, England kukabiliana na Norway robo fainali Nations League

11h ago
READ MORE β†’
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
Ahmad Ally aitangazia vita Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker afunguka maandalizi ya kuikabili JKT Tanzania

14h ago
READ MORE β†’
Mourinho aeleza msimamo wake kuhusu Vinicius Real Madrid

Walionufaika na waliopoteza wakati wa mapumziko ya mechi za kimataifa.

16h ago
READ MORE β†’
Real Madrid kuongeza mikataba ya Courtois na Valverde

17h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu ya NBC kuendelea leo: Yanga Moshi, Azam na Singida Bs kukutana Chamazi

19h ago
READ MORE β†’