Singida Black Stars imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na kiungo wake Marcel Canadi mwenye umri wa miaka 29, hivyo kumaliza safari yake ndani ya klabu hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Canadi anatarajiwa kuondoka Tanzania na kuelekea sehemu nyingine kutafuta changamoto mpya katika maisha yake ya soka.
Kuondoka kwake kunafungua ukurasa mpya kwa mchezaji huyo, ambaye sasa anatafuta timu nyingine ya kuendeleza safari yake ya soka.
ADVERTISE HERE