Kariakoo Derby - mfumo wa tiketi warejea utaratibu wa awali

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu
β€’
2h ago
Kariakoo Derby - mfumo wa tiketi warejea utaratibu wa awali

Kaimu Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Yahya Abushehe, amesema mfumo wa ununuzi wa tiketi kwa mchezo wa Simba dhidi ya Young Africans upo tayari na mashabiki wanaweza kuanza kununua tiketi.

Abushehe amesema awali kulikuwa na maboresho yaliyofanywa kwenye mfumo huo, ambapo wanunuzi walihitajika kuwa na barua pepe (email), huku baadhi ya watu wasio na vifaa vya simu vinavyotumia internet wakishindwa kununua tiketi.

Amesema wamebaini kuwa maboresho hayo yanaweza kuchukua muda mrefu kukamilika, hivyo wameamua kuyasitisha kwa muda na kurejea kwenye utaratibu wa awali wa ununuzi wa tiketi.

Hatua hiyo imekuja kuelekea mchezo wa Kariakoo Derby kati ya Simba na Young Africans, huku mashabiki wakipewa fursa ya kununua tiketi kupitia mfumo uliorejeshwa kwenye utaratibu wa awali.

ADVERTISE HERE

More Stories

JKT Tanzania, Fountain Gate watamba kuelekea mtanange wa NBC Premier League
JKT Tanzania, Fountain Gate watamba kuelekea mtanange wa NBC Premier League
1h ago
READ MORE β†’
TPLB yaweka msisitizo wa wajibu kabla ya Kariakoo Derby
TPLB yaweka msisitizo wa wajibu kabla ya Kariakoo Derby
2h ago
READ MORE β†’
Ronaldo amtumia Messi ujumbe wa heshima baada ya kuaga Argentina
Ronaldo amtumia Messi ujumbe wa heshima baada ya kuaga Argentina
2h ago
READ MORE β†’
Ligi Kuu NBC inaendelea leo Alhamisi baada ya FIFA break
Ligi Kuu NBC inaendelea leo Alhamisi baada ya FIFA break
3h ago
READ MORE β†’
Wanasimba wajivunia Libasse Gueye kuelekea mtanange wa dabi dhidi ya Yanga
Wanasimba wajivunia Libasse Gueye kuelekea mtanange wa dabi dhidi ya Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Taifa stars yashuka nafasi tatu viwango vya fifa
Taifa stars yashuka nafasi tatu viwango vya fifa
3h ago
READ MORE β†’
Simba yataja sababu kuchelewa mauzo ya tiketi
Simba yataja sababu kuchelewa mauzo ya tiketi
6h ago
READ MORE β†’
Msimu wa tatu wa Safari Lager Cup wazinduliwa
Msimu wa tatu wa Safari Lager Cup wazinduliwa
21h ago
READ MORE β†’
Pedro astaafu soka baada ya safari yenye mafanikio.
Pedro astaafu soka baada ya safari yenye mafanikio.
22h ago
READ MORE β†’
Ahmed Ally: Steve Barker haioni Simba kama mnyonge mbele ya Yanga
Ahmed Ally: Steve Barker haioni Simba kama mnyonge mbele ya Yanga
23h ago
READ MORE β†’