Sudan mabingwa wa CECAFA U20 baada ya kuifunga tanzania kwa penalti

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu
β€’
24 Sep 2026
Sudan mabingwa wa CECAFA U20 baada ya kuifunga tanzania kwa penalti

Sudan wametwaa ubingwa wa CECAFA U20 Championship baada ya kuifunga Tanzania kwa mikwaju ya penalti katika mchezo wa fainali.

Mchezo huo ulimalizika kwa sare ya 1-1 baada ya dakika 90, na hata baada ya muda wa nyongeza hakuna timu iliyoweza kupata bao la ushindi.

Hatimaye, Sudan walifanikiwa kushinda mikwaju ya penalti kwa 4-3, na hivyo kutwaa ubingwa wa mashindano hayo.

Ngorongoro Heroes walipambana hadi dakika za mwisho, lakini wakakosa bahati katika mikwaju ya penalti.

ADVERTISE HERE

More Stories

UEFA Champions League kuendelea leo, macho kuelekezwa PSG dhidi ya Barcelona

45m ago
READ MORE β†’
CAF yabadilisha mwamuzi wa mchezo wa Simba SC dhidi ya 15 de Agosto

22h ago
READ MORE β†’
Kocha wa Wiliete SC alazwa hospitalini baada ya mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns

TFF kuja na zoezi la upimaji wa dawa zilizokatazwa kwa wachezaji

Azam FC yawasha moto, yaanza maandalizi kuivunja ZED FC Chamazi

Simba kuweka big screen Mwembe Yanga, mashabiki watakiwa kuvaa jezi mpya

23h ago
READ MORE β†’
Rangers yaelekea Caf kufuatia vurugu za mashabiki wa Mc Alger

1d ago
READ MORE β†’
Saido Berahino astaafu soka la ushindani akiwa na umri wa miaka 33

Kutoka bodaboda Iringa hadi kuwa nyota wa Yanga SC - Clement Mzize:

Waziri Makonda afichua mpango wa kujenga Arena tatu za kisasa za michezo