Timu ya taifa ni mali ya nchi, sio kampuni ya mtu - Makonda

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu
β€’
24 Sep 2026
Timu ya taifa ni mali ya nchi, sio kampuni ya mtu - Makonda

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema Timu ya Taifa ya Tanzania ni mali ya nchi na si kampuni ya mtu binafsi.

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Makonda amesema mamlaka ya Waziri katika kusimamia sekta ya michezo yapo kwa mujibu wa Sheria, Sera na Kanuni, akisisitiza kuwa Timu ya Taifa inawakilisha nchi kila inapokwenda.

β€œTimu ya Taifa ni mali ya Nchi, sio kampuni ya Mtu, ndiyo maana tumeikasimu na kuihudumia, timu ikienda popote pale, ni Nchi inaenda,” amesema Makonda.

Makonda pia amesema Waziri anayesimamia sekta hiyo ni mteule wa Rais, hivyo mamlaka yake yanapaswa kuheshimiwa katika utekelezaji wa majukumu yake ya kuisimamia sekta ya michezo.

β€œWanamfanya kama Waziri wanamdharau, lakini huyo ni mteule wa Rais anayesimamia wizara ambayo inakupa mkate,” amesema Makonda.

Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya michezo na uendeshaji wa Timu ya Taifa nchini.

ADVERTISE HERE

More Stories

UEFA Champions League kuendelea leo, macho kuelekezwa PSG dhidi ya Barcelona
UEFA Champions League kuendelea leo, macho kuelekezwa PSG dhidi ya Barcelona
43m ago
READ MORE β†’
CAF yabadilisha mwamuzi wa mchezo wa Simba SC dhidi ya 15 de Agosto
CAF yabadilisha mwamuzi wa mchezo wa Simba SC dhidi ya 15 de Agosto
22h ago
READ MORE β†’
Kocha wa Wiliete SC alazwa hospitalini baada ya mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns
Kocha wa Wiliete SC alazwa hospitalini baada ya mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns
22h ago
READ MORE β†’
TFF kuja na zoezi la upimaji wa dawa zilizokatazwa kwa wachezaji
TFF kuja na zoezi la upimaji wa dawa zilizokatazwa kwa wachezaji
22h ago
READ MORE β†’
Azam FC yawasha moto, yaanza maandalizi kuivunja ZED FC Chamazi
Azam FC yawasha moto, yaanza maandalizi kuivunja ZED FC Chamazi
22h ago
READ MORE β†’
Simba kuweka big screen Mwembe Yanga, mashabiki watakiwa kuvaa jezi mpya
Simba kuweka big screen Mwembe Yanga, mashabiki watakiwa kuvaa jezi mpya
23h ago
READ MORE β†’
Rangers yaelekea Caf kufuatia vurugu za mashabiki wa Mc Alger
Rangers yaelekea Caf kufuatia vurugu za mashabiki wa Mc Alger
1d ago
READ MORE β†’
Saido Berahino astaafu soka la ushindani akiwa na umri wa miaka 33
Saido Berahino astaafu soka la ushindani akiwa na umri wa miaka 33
1d ago
READ MORE β†’
Kutoka bodaboda Iringa hadi kuwa nyota wa Yanga SC - Clement Mzize:
Kutoka bodaboda Iringa hadi kuwa nyota wa Yanga SC - Clement Mzize:
1d ago
READ MORE β†’
Waziri Makonda afichua mpango wa kujenga Arena tatu za kisasa za michezo
Waziri Makonda afichua mpango wa kujenga Arena tatu za kisasa za michezo
1d ago
READ MORE β†’