Azizi KI Yupo Tayari Kuikabili Fountain Gate hii Leo

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said
β€’
31 Aug 2026
Azizi KI Yupo Tayari Kuikabili Fountain Gate hii Leo

Kiungo mshambuliaji wa yanga Stephen Azizi KI anatarajiwa kuwa sehemu ya wachezaji wa yanga ambao watawakilisha Timu hiyo katika mchezo wa raundi ya tano ya NBC hii Leo dhidi ya Fountain Gate

Taarifa hiyo inakuja kufuatia maneno ya Kocha Mkuu wa Timu hiyo Manqoba Mngqithi alipozungumza na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa pamba jiji wiki iliyopita kuwa nyota huyo atakuwa tayari kabla ya mechi za Kimataifa.

Yanga inashuka uwanjani hii leo majira ya saa 10 jioni katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kisha kurejea tena uwanjani Septemba 5 kwenye mchezo wa kwanza Kimataifa dhidi ya Gaborone united ya Botswana

ADVERTISE HERE

More Stories

15 de Agosto wawawekea ngumu mashabiki wa Simba
15 de Agosto wawawekea ngumu mashabiki wa Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barcelona yatambulisha jezi ya El Clasico yenye nembo ya Golf Wang
Barcelona yatambulisha jezi ya El Clasico yenye nembo ya Golf Wang
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yaongeza kasi ya maandalizi kuivaa CFFA ya Madagascar
Yanga yaongeza kasi ya maandalizi kuivaa CFFA ya Madagascar
8h ago
READ MORE β†’
Yanga SC kukamilisha malipo ya Sure Boy ndani ya miezi miwili
Yanga SC kukamilisha malipo ya Sure Boy ndani ya miezi miwili
8h ago
READ MORE β†’
Pep Guardiola arejea Etihad, Man city ikipigwa 4-2 na PSG
Pep Guardiola arejea Etihad, Man city ikipigwa 4-2 na PSG
9h ago
READ MORE β†’
CAF yawateua waamuzi wanne wa Tanzania kuchezesha mchezo wa CAFCL
CAF yawateua waamuzi wanne wa Tanzania kuchezesha mchezo wa CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Sarafu yaamua hatima ya Serengeti Boys, yakosa nafasi AFCON U17 2027
Sarafu yaamua hatima ya Serengeti Boys, yakosa nafasi AFCON U17 2027
12h ago
READ MORE β†’
Vinicius Junior afungiwa mechi nne, kuukosa mchezo wa El Clasico
Vinicius Junior afungiwa mechi nne, kuukosa mchezo wa El Clasico
15h ago
READ MORE β†’
Villa, PSG, Madrid mambo mazuri katika usiku wa UEFA.
Villa, PSG, Madrid mambo mazuri katika usiku wa UEFA.
22h ago
READ MORE β†’
UEFA Champions League kuendelea leo kwa mechi tisa za kibabe
UEFA Champions League kuendelea leo kwa mechi tisa za kibabe
1d ago
READ MORE β†’