Timu ya Singida Black Stars imeanza kampeni ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC (2026/2027) kwa kishindo baada ya kusajili ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate FC, katika mchezo wa ufunguzi uliopigwa kwenye Uwanja wa Airtel.
..... download Xtra 90 App



