Kesho Ijumaa, Agosti 22, macho na masikio ya Watanzania yatakuwa Uwanja wa Benjamin Mkapa, ambapo Taifa Stars watakabiliana na Morocco katika robo fainali ya CHAN 2024. Ni zaidi ya mechi ya mpira, ni kipimo cha hadhi ya soka la Tanzania barani Afrika.
Taifa Stars waliweka msingi mzuri hatua ya makundi. Walikusanya pointi 10, wakifunga mabao matano na kuruhusu moja pekee. Safu ya ulinzi..... download Xtra 90 App



