Tetesi za usajili Ulaya, Jumatano Februari 05 2025

Joel JJ By Joel JJ
β€’
5 Feb 2025
Tetesi za usajili Ulaya, Jumatano Februari 05 2025

Manchester United bado iko tayari kumuuza winga wa Argentina Alejandro Garnacho, 20, na kiungo wa kati wa Uingereza Kobbie Mainoo, 19, msimu wa kiangazi (Guardian)

Mshambulizi wa Brazil Matheus Cunha, 25, ana nia ya kuhamia klabu kubwa licha ya kusaini mkataba mpya wa Wolves . (Football Insider)

Nottingham Forest ilikataa ofa ya siku ya mwisho kutoka kwa Chelsea kwa mlinzi wa Brazil Murillo, 22. Ingekuwa mauzo ya rekodi ya klabu. (Telegraph - Subscription required )

Mshambulizi wa Manchester United na Uingereza Marcus Rashford, 27, alikataa kuhamia klabu moja ya Uturuki kabla ya kujiunga na Aston Villa kwa mkopo. (Manchester Evening News )

Rashford anaweza kupoteza kama 100% ya pesa za udhamini anazopokea kutoka kwa Nike kwasababu kampuni hiyo kubwa ya mavazi ya michezo inaichukulia Aston Villa kama kitengo cha chini cha klabu kuliko United . Nike pia inaweza kumuomba alipe kiasi cha ada za kusaini. (Mail Plus -Subscription required)

Wachambuzi wa wanaamini kuwa inaweza kufika hadi mwaka 2032 kabla ya Old Trafford kujengwa upya kikamilifu au kuendelezwa upya. (Mail Plus - Subscription required)

Barcelona haikupokea pauni milioni 8.5 kutokana na mauzo ya kiungo wa kati wa Porto Muhispania Nico Gonzalez, 23, kwenda Manchester City , kwasababu klabu hiyo ya Ureno ililipa klabu hiyo ya Catalan ada ya pauni milioni 2.5 ili kupunguza nusu ya kipengele cha mauzo. (ESPN)

Newcastle United wanaegemea kujenga uwanja mpya karibu na St James' Park. (Telegraph - Subscription required)

United wanataka kukataa ofa ya mkopo ya Benfica kwa ajili ya mlinzi wa Uholanzi Tyrell Malacia, 25, ili kuashiria mwisho wao kuwaondoa wachezaji kwa masharti yasiyofaa. (Mail Plus - Subscription required)

BBC

ADVERTISE HERE

More Stories

De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
De Klassiker hakuna mshindi, Bayern 2-2 Dortmund
2h ago
READ MORE β†’
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
Natumaini Caf itaidhinisha uhuru stadium kwa mechi za makundi : Wallace Karia
4h ago
READ MORE β†’
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
Azam FC yaibuka na ushindi ugenini dhidi ya JKT Tanzania
4h ago
READ MORE β†’
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
Brighton yaizamisha Manchester City Etihad, mbio za ubingwa zazidi kupamba moto
5h ago
READ MORE β†’
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
Orlando Pirates yawasha moto kwenye dabi ya Soweto, Simba yapata onyo
6h ago
READ MORE β†’
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
Manchester United yaendeleza mwenendo mbaya baada ya kichapo kutoka Chelsea
6h ago
READ MORE β†’
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
9h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
11h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
12h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
12h ago
READ MORE β†’