Freddy Michael atua Zesco United

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Nov 2024
Freddy Michael atua Zesco United

Zesco United wametangaza kumsajili Freddy Micheal Koublan, mchezaji wa zamani wa Simba

Mshambulizi huyo wa Ivory Coast anajiunga na timu hiyo yenye maskani yake Ndola kufuatia kutofanikiwa huko USM Algiers nchini Algeria

Koublan anarejea kwenye Ligi Kuu ya Zambia miezi 11 baada ya kuichezea Green Eagles

Amesaini mkataba wa mwaka mmoja na vigogo hao kutoka Ndola

"Klabu ya Soka ya ZESCO United ina furaha kutangaza kumsajili Mshambulizi wa Kimataifa wa Ivory Coast Freddy Michael Kouablan kwa mkataba wa mwaka mmoja," taarifa ya Zesco ilibainisha

Rekodi nzuri ya Kouablan ni pamoja na kuwa kileleni mwa orodha ya wafungaji bora wa Ligi Kuu ya MTN 2023/24 akiwa na mabao 14 katika mechi 18 alizoichezea Green Eagles, akifuatiwa na mabao 8 katika mechi 13 za wababe wa Tanzania, Simba SC

ADVERTISE HERE

More Stories

Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
Gamondi aita kikosi cha kuikabili Nigeria kufuzu Afcon 2027
2h ago
READ MORE β†’
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
Ligi kuu bara kuendelea leo, Mkwakwani na Isamuhyo kuwaka moto
4h ago
READ MORE β†’
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
Dladla awataka mashabiki wa Yanga kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao
5h ago
READ MORE β†’
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
Tunatarajia mchezo mgumu, lakini lengo letu ni ubingwa: Dladla kocha yanga
5h ago
READ MORE β†’
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
Wikiendi ya moto: Mechi kubwa sita kutawala viwanja vya soka
7h ago
READ MORE β†’
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
Jeraha la Kariakoo derby lamuondoa Duke Abuya Harambee stars
8h ago
READ MORE β†’
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
CAF yamchagua Arajiga miongoni mwa waamuzi 35 kupata mafunzo maalum Cairo
8h ago
READ MORE β†’
Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or
Hoja tano zinazoweza kuboresha tuzo ya Ballon d’Or
20h ago
READ MORE β†’
Samatta katika mtihani mzito: Le Havre ikiikaribisha PSG leo
Samatta katika mtihani mzito: Le Havre ikiikaribisha PSG leo
1d ago
READ MORE β†’
Chelsea na Manchester united katika vita ya alama tatu kesho Stamford Bridge
Chelsea na Manchester united katika vita ya alama tatu kesho Stamford Bridge
1d ago
READ MORE β†’