Yanga - Simba - Azam - Singida - Local

All the best Taifa Stars

Joel JJ By Joel JJ
4 Sep 2024
All the best Taifa Stars

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo inaanza kampeni ya kuwania tiketi ya michuano ya Afcon 2025 kwa kuikabili Ethiopia katika mchezo wa kundi H utakaopigwa saa 1 usiku

Ili kujiweka katika nafasi nzuri, Stars inapaswa kuhakikisha inashinda mechi zote tatu za nyumbani wakianza na Ethiopia leo

Katika makaratasi, ni mechi ambayo Stars inapaswa kushinda kwa kuangalia viwango na ubora wa timu zote kwa wakati huu

Hata hivyo ni mechi ambayo wachezaji wa Taifa Stars hswapaswi kudharau, badala yake wanapaswa kwenda kupambana ili kupata matokeo mazuri

Kikosi cha Stars leo kitashuka dimbani bila ya nyota wake Mbwana Samatta na Saimon Msuva ambao hawakujumuishwa katika kikosi

Hata hivyo nyota hao pia hawakujumuishwa katika mechi iliyopita ya kuwania kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Zambia na Stars kuibuka na ushindi wa bao 1-0 ugenini

More Stories

BREAKING: Chelsea set to make move for Fabián Ruiz
BREAKING: Chelsea set to make move for Fabián Ruiz
21m ago
READ MORE →
Pape sakho could leave Raja to make room for philipinho
Pape sakho could leave Raja to make room for philipinho
1h ago
READ MORE →
Liverpool knock Tottenham out of the Carabao Cup.
Liverpool knock Tottenham out of the Carabao Cup.
1h ago
READ MORE →
Azam Fc and Simba Renew Rivalry in High-Stakes Mzizima Derby
Azam Fc and Simba Renew Rivalry in High-Stakes Mzizima Derby
2h ago
READ MORE →
Patrice Motsepe to arrive in Tanzania for AFCON 2027 preparations inspection
Patrice Motsepe to arrive in Tanzania for AFCON 2027 preparations inspection
2h ago
READ MORE →
Three hard-fought points! Yanga 1-0 Geita Gold
Three hard-fought points! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE →
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE →
Finally, Yanga feel the pain of a red card after Aziz Ki is sent off
Finally, Yanga feel the pain of a red card after Aziz Ki is sent off
17h ago
READ MORE →
Clement Mzize returns to Yanga squad after six-month injury layoff
Clement Mzize returns to Yanga squad after six-month injury layoff
21h ago
READ MORE →
AFCON 2027 to showcase tanzania’s tourism to the world: Karia
AFCON 2027 to showcase tanzania’s tourism to the world: Karia
22h ago
READ MORE →