Kikosi cha Coastal Union kimerejea salama jijini Dar es Salaam kikitokea Angola kwenye mechi ya CAF Confederation Cup dhidi ya Bravos
Coastal watacheza mechi ya marudiano Agosti 25 katika uwanja wa Azam Complex
Wagosi hao wa Kaya walichapwa mabao 3-0 katika mchezo wa kwanza na hivyo watahitaji kushinda sio chini ya mabao 4-0 ili waweze kutinga raundi ya kwanza
Ni wazi Wawakilishi hao wa Tanzania katika kombe la Shirikisho wana mlima mrefu wa kupanda



ADVERTISE HERE