Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba Moses Phiri amerejea kwao Zambia na kujiunga na klabu yake ya zamani, Power Dynamos
Phiri amejiunga na timu hiyo kwa mkopo wa hadi mwishoni mwa ambapo ndipo mkataba wake na Simba utamalizika
Ni miongoni mwa wachezaji walioachwa na Simba katika dirisha dogo la usajili sambamba na Jean Baleke nafasi zao zikichukuliwa na Pa Omar Jobe na Fredy Michael Kouablan
Majeraha yamewanyima Wanasimba fursa ya kukifaidi kipaji chake kwa muda mrefu zaidi

ADVERTISE HERE