Baada ya kurejea kunako klabu yake ya zamani, Mtibwa Sugar kocha Zubeir Katwila ameanza kuwanoa wakatamiwa hao kutoka Manungu
Juzi Mtibwa Sugar ilimtangaza Katwila kuwa kocha mkuu akichukua nafasi iliyoachwa na Habibu Kondo ambaye mkataba wake ulisitishwa
Katwila ana kazi ya kuiondoa Mtibwa Sugar mkiani mwa msimamo wa ligi
Mtibwa Sugar imekusanya alama mbili tu kutoka mechi sita walizocheza msimu huu


ADVERTISE HERE